Skip to product information
gold detector mining equipment
198,000.00 TZS
Sale price
198,000.00 TZS
Regular price
288,000.00 TZS
Karibu kwenye suluhisho rahisi la kupata dhahabu kwa haraka!
Gold Detector hii ya kisasa imeundwa kwa ajili ya watu wanaotafuta dhahabu kwa ufanisi na usahihi mkubwa.
Kifaa hiki kina uwezo mkubwa wa kugundua dhahabu chini ya ardhi kwa kina kirefu, hata kwenye maeneo magumu kama udongo mkavu au wenye mawe. Ni rahisi kutumia, kinabebeka mkononi, na hakihitaji utaalamu mkubwa kuanza kazi.
👉 Inafaa kwa wachimbaji wadogo na wakubwa
👉 Ina sensitivity kubwa ya kugundua dhahabu
👉 Inatoa ishara (beep) pale dhahabu inapogunduliwa
👉 Inatumika maeneo mbalimbali – mashambani, migodini, na porini
Ukiwa na kifaa hiki, unajiwekea nafasi kubwa ya kupata dhahabu kwa haraka na kuongeza kipato chako.




